yaan ata mm nimefikiria the same,angemuwekea basi ata sumu jaman kuliko kumuua kikatili
Mkuu, huyo aliyejinyonga alikuwa akiishi wapi? Alijinyonga mwaka gani? Maana Nafahamu tukio kama hilo lililotokea mwaka jana kwa mume wa mwanamke wa kabila hilo. Nisingependa kuwazungumza vibaya hao wanawake wa kabila hilo ila sijui kwanini coincidence zinakuwa nyingi.
Kuna jamaa mwingine alikuwa kwenye magazeti, nae alikufa katika mazingira ambayo mpaka leo ndugu zake wanahoji, nae alioa hilo kabila na aliacha mali za maana ikiwamo nyumba mpya ambayo hakuishi ndani yake kwa zaidi ya mwezi.
Inaamsha udadisi kidogo.
Ni wa Arusha mkuu,na huyo mama sasahv ndio amebaki anamiliki nyumba aliyojenga huyo baba,anaishi na kijana wake mmoja.
Kwani Hoja Ambayo Imetolewa Uzi Ni Hayo MATUSI Na MIPASHO!!!?? Au Imekuwaje Wadau!!!!?
That's Jesus' image basing on latest histo-scientific findings.And I call it "Jesus' New Model" teh teh teh.Merry Christmas.
Kuna kabila la Waarusha. Mix ya mmasai na mmeru/mchagga.
Wana tamaduni km za wamasai ila uchumi wao ni sedentary km wameru au wachagga.
Umeandika kama una uhakika sana muuaji ni mke wa marehemu ili hali upelelezi unasema baada ya uchunguzi wa kina kijana wa kazi amekiri kuhusika na mauaji hayo....Wacha tuone kijana atasema ni nani alimpa kazi hiyo...Utata ni mkubwa na ninabanwa na sheria ya makosa ya mtandaoni ningeweza sema jambo..