Yule maji mengi; huyu hana kabisa!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Nataka Ushauri wenu Kuna dada mmoja amenijia ana matatizo hayo hapo chini je Wana JF Naombeni Ushauri wenu nimsaidie vipi? haya someni matatizo yake hapo chini

Mimi nimemsoma dada ditto kuwa anatatizo la kutoka maji mengi wakati wa sex na anakereka. sasa mie nina tatizo tofauti nae la kuwa sitoki hayo maji kabisa wakati wa sex na kusababisha hata uume kuingia kwa tabu na pia mume wangu hafurahii hali hii tunavyofanya mapenzi, ananiomba nitoe maji, pengine hasikii raha bila hayo maji, sasa mie sina hayo maji. je nifanyeje naomba ushauri:-chausiku
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
Maji hayo muhimu sana. Ila sio wote walioumbwa kuwa nayo ya kutosha. Wale wa mikoa ya kanda ya ziwa,hasa Kagera, karibu wote wanayo ya kutosha. Labda ulaji wa ndizi nao unachangia. Inafaa kumwona dk.kama ktk majambozi hata ukiandaliwa maji hayatoki. Kama kuna adult shop pia sio mbaya kupata some fluid (over the counter).
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Nataka Ushauri wenu Kuna dada mmoja amenijia ana matatizo hayo hapo chini je Wana JF Naombeni Ushauri wenu nimsaidie vipi? haya someni matatizo yake hapo chini [/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mimi nimemsoma dada ditto kuwa anatatizo la kutoka maji mengi wakati wa sex na anakereka. sasa mie nina tatizo tofauti nae la kuwa sitoki hayo maji kabisa wakati wa sex na kusababisha hata uume kuingia kwa tabu na pia mume wangu hafurahii hali hii tunavyofanya mapenzi, ananiomba nitoe maji, pengine hasikii raha bila hayo maji, sasa mie sina hayo maji. je nifanyeje naomba ushauri:-chausiku[/FONT]

punguza pressure mkitaka kufanya mambo, kwani ukiwa na tension ndio yaweza kusababisha mambo hayo
yeye pia asiwe na papara, foreplay kwanza!
ama vipi mnunue k-y jelly ya kulainishia,
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Nataka Ushauri wenu Kuna dada mmoja amenijia ana matatizo hayo hapo chini je Wana JF Naombeni Ushauri wenu nimsaidie vipi? haya someni matatizo yake hapo chini [/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mimi nimemsoma dada ditto kuwa anatatizo la kutoka maji mengi wakati wa sex na anakereka. sasa mie nina tatizo tofauti nae la kuwa sitoki hayo maji kabisa wakati wa sex na kusababisha hata uume kuingia kwa tabu na pia mume wangu hafurahii hali hii tunavyofanya mapenzi, ananiomba nitoe maji, pengine hasikii raha bila hayo maji, sasa mie sina hayo maji. je nifanyeje naomba ushauri:-chausiku[/FONT]


Pole sana tatizo lako linatibika na ni la kawaida kabisa.

Kutokutoka maji wakati wa sex kunasababishwa na ugonjwa unaoitwa anaemia ambao ni very common kwa wanawake kutokana na kupoteza madini ya chuma (Iron) wakati wanapokuwa kwenye period.
Kitu kingine ni kutokana na kufanya sex bila kupenda au kutokuwa na interest mara nyingi wanaume huwa tunataka kumaliza biashara mapema kwa wenzetu haiko hivyo.

Kwa wanaume kutokuwa na majimaji au libido wakati wa sex mara nyingi husababishwa na kufanya mapenzi bila kuwa na interest lakini huwa ni mara chache kutokea.

Ushauri ni kula aina ya vyakula vinavyoongeza madini ya chuma mwilini pia zipo dawa za kuongeza kama chakula ni tatizo.

OMBI: WAKATI MWINGINE NI VIZURI KUSAIDIANA KWA MAJIBU KAMA UNAYO NAOMBA TUACHE UTANI KWENYE MASWALA YA MAGONJWA LEO KWANGU KESHO KWA MWINGINE. SIO LAZIMA KILA TATIZO MPAKA LIFIKE KWA DOKTA KULE NI PESA KWA KWENDA MBELE NA KWA WASIOKUWA NA MAADILI NDIO USISEME KAMA NI MKEO INAUMA WE ACHA TU. KUWA UYAONE!!!
 
kwa mawazo yangu ukitaka mwanamke atoke maji sehemu yake ya siri wakati wa tendo la mapenzi baina yake na wewe bwana wake itabidi wewe Mwanamme umchezee mwili wake sana mpaka unamuona yupo kalegea ndipo waweza kufanya tendo la mapenzi nafikiri hilo ndio litakuwa Dawa ya kumuwezesha huyo mwanamke atokwe na maji sehemu yake ya siri sio ukifika tu we bwana unataka kuanza kuucheza mpira kabla ya huyo golikipa wako hajawa teyari kuupokea huo mpira huo unaotaka kucheza kitandani na hiyo yote sisi wanaume ndio tunaofaa kulaumiwa kutokana na haraka ya kucheza mpira na kutaka kufunga goli mapema wakati mwenzako golikipa hajawa teyari wewe umesha maliza kufunga hilo goli matokeo yake umemaliza wewe kabla ya mwenzake tujitahidi tukiwa kwenye uwanja wa mpira wa kitandani itabidi mawazo yetu yawe mbali ndio itasaidia kuchelewa kufunga goli mapema maana ukifunga goli mapema goli la pili itachukuwa muda tena kulipata nahiyo itamfanya mwenzako yaani golikipa awe hajisikii vizuri kwa sababu wewe unakuwa umesha maliza machi mawazo yangu ni hayo mansemaje wana Jf Wenzangu?
 
mumewe aongeze ufundi, anapomtaka mkewe aongeze maji, mke ayatoe wapi? Kisimani? Amhamasishe mkewe,amguse pale anaposisimka, atumie muda wa kutosha kumuandaa
 
Huyo mdada ajitahidi awe anakula sana nyanya chungu a.ka ngogwe za kupikwa ama mbichi huku Tanga zinapatikana sana ataona mabadiliko.
 
huyo dada inambidi ale kwa wingi mboga ya matembele inaongeza sana madini joto na calcium mwilini ambayo hupotea kutokana na hedhi,ataona mabadiliko!!i once met such kind of a girl but now yuko poa...hata umchezee masaa 3 maji yalikuwa yanatoka kidogo sana,but now shez normal!!:embarassed2:
 
Back
Top Bottom