nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
kuwa uone aisee..
kuna ndoa hadi unajiuliza 'walikutana wapi'?
Mwambie huyo, maana anavyolishana UGORO na mumewe anajua iko hivyo kote...kuwa uone aisee..
kuna ndoa hadi unajiuliza 'walikutana wapi'?
na wewe unanisimanga....!
binti una nongwa wewe
Afadhali kama walisolve. Issue za mke kununa wiki ni issue mbovu kabisa. Inapaswa kukaa chini na kuongea na wapenzi/wachumba/wake zetu kutopendelea kununa muda mrefu.
Mwambie huyo, maana anavyolishana UGORO na mumewe anajua iko hivyo kote...
Kuna wanandoa wanaishi kama vile hawaishi, ni kama vile simba na yanga, kila mtu anajipikia au anajua mwenyewe anapokula.
Kuna jamaa mmoja namjua yeye huwa akifika kwake anapaki gari ndani ya fence na kulala humo humo ndani ya gari akiamka asubuhi anaingia ndani na kuoga kisha anasepa zake kazini...............
Najua kuna watu humu watai - treat hii maneno kama vile imetokea jana.... Acheni hizo....LOL
Mkuu Mtambuzi ni True story?au hadithi ya kutunga?Jamani hii kitu ni ya kitambo sana, msije mkadhani ni ya hivi karibuni.....LOL
Jamani hii kitu ni ya kitambo sana, msije mkadhani ni ya hivi karibuni.....LOL
upumbavu wa mwanamke na kutokuwa na subira kwa mume kumemkaribisha ibilisi ndani ya nyumba.hata hivyo huyo mwanamke atakoma kununa na kama anajua kususa si angeenda kwao pambaf sana huyo.ila sitetei tabia mbovu ya mume.kazi kweli kweli.