Yule daktari akaniharibia kwa wife…..!

Sijakataa kama zipo au hazipo...ila nachosema hao watakuwa wanaishi kama kaka na dada...maana najaribu kuvuta taswira watakuwa wana 'do' viiiipiiii huku ni maadui?????!!!!

Ndio maana kununa kunaenda sambamba na likizo (break), mgomo...kununa=hupati kitu.

kuwa uone aisee..
kuna ndoa hadi unajiuliza 'walikutana wapi'?
 
kuwa uone aisee..
kuna ndoa hadi unajiuliza 'walikutana wapi'?
Mwambie huyo, maana anavyolishana UGORO na mumewe anajua iko hivyo kote...
Kuna wanandoa wanaishi kama vile hawaishi, ni kama vile simba na yanga, kila mtu anajipikia au anajua mwenyewe anapokula.
Kuna jamaa mmoja namjua yeye huwa akifika kwake anapaki gari ndani ya fence na kulala humo humo ndani ya gari akiamka asubuhi anaingia ndani na kuoga kisha anasepa zake kazini...............
 
hee Gustavo kumbe ilikuwa ni wewe kiukwe kweliiii?!!! umepitia mengi sana acha tu!

Na kwa kupitia kwangu mengi, nimesaidia kuokoa ndoa nyingi.....
Kuna watu wanadesa mikasa yangu nakuifanyia rehearsal kwenye mahusiano yao.....
 
Afadhali kama walisolve. Issue za mke kununa wiki ni issue mbovu kabisa. Inapaswa kukaa chini na kuongea na wapenzi/wachumba/wake zetu kutopendelea kununa muda mrefu.
 
Nashangaa vicheni party wanafundisha kukata mauno wanasahau issue sensitive kama hizi. Lol.

Ila kwa wengi hizo ni tabia ambazo kuacha ni ngumu...ndivyo mtu alivyo toka kuzaliwa, abadilishiki.

Afadhali kama walisolve. Issue za mke kununa wiki ni issue mbovu kabisa. Inapaswa kukaa chini na kuongea na wapenzi/wachumba/wake zetu kutopendelea kununa muda mrefu.
 
Ngoja nimsimulie maza unaoa mke wa pili uone kama hujalala kwenye gari na wewe ama gerage!
Mwambie huyo, maana anavyolishana UGORO na mumewe anajua iko hivyo kote...
Kuna wanandoa wanaishi kama vile hawaishi, ni kama vile simba na yanga, kila mtu anajipikia au anajua mwenyewe anapokula.
Kuna jamaa mmoja namjua yeye huwa akifika kwake anapaki gari ndani ya fence na kulala humo humo ndani ya gari akiamka asubuhi anaingia ndani na kuoga kisha anasepa zake kazini...............
 
Jamani hii kitu ni ya kitambo sana, msije mkadhani ni ya hivi karibuni.....LOL

ah kwani una muamana wewe?hili litakuwa limetokea hivi juzi juzi tu hapa,na mama ngina ana huruma kweli kweli mi ningekatilia mbali hcho kitrans gonorea!ahahhahahhah mzee una visa wewe!:biggrin:
 
Unatakiwa jambo lolote lile kufikiria kwa kina kabla ya kulitolea maamuzi, wengi hulia kwa kukulupuka:lol:
 
Mtambuzi una tabia mbaya! Badala ya kwenda hospitali na aliyekuambukiza ili nae atibiwe, we ukaenda peke yako. You were so selfish. Ila na wee ulikoma.
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu pole sana kwa yale yaliokukuta:ballchain: huko hospitalini nadhani umejifunza kitu pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom