Yule ambae humtaki ndio mumeo

MTU ukimweka moyoni kumwcha ni ngumu sana sio rahis hata kidogo kama unavyodhani, ndo maana tunashauriwa tushiweke watu moyoni kirahis rahisi
Tunatumia moyo na akili, mapenzi ya moyo peke yake yanafanywa na visichana vidogo sio mimi mkuu

Ntakupenda lakini ukileta upuuzi nakuacha asbh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very nice story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshauri hata kwa mafumbo kaa kimya atakuletea wajomba nyumbani na utawatunza na kusomesha
mpaka mwisho maana baba zao hawaeleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee acha tu tatizo kanipita kiumri,wazee wameongea wamechoka,kuna kipindi alimkataa jamaa moja mchaga kisa meno yake ni yana rangi ya kama ya kahawia fulani,jamaa yupo vizuri ana biashara zake,nyumba ,usafiri.
 
Kaogopa meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duu kwani jamani atakuwa anakenua muda wote? Kuna umri ukifika atajutia ila kuna wengine wana bahati zao atampata amtakae, kuna dada naye anachagua anataka handsome sasa kuna mmoja alikuwa naye ila mme wa mtu alimwambia atamfukuza mkewe amuoe yeye [emoji23][emoji23][emoji23] miaka imepita hakuna kitu
Wee acha tu tatizo kanipita kiumri,wazee wameongea wamechoka,kuna kipindi alimkataa jamaa moja mchaga kisa meno yake ni yana rangi ya kama ya kahawia fulani,jamaa yupo vizuri ana biashara zake,nyumba ,usafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee acha tumemwachia Mungu.
 
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa tunasingiziaga eti ni "Nature" Ukweli mapenzi mengi ya kibongo yamejaa unafiki na uwongo mwingi. Bahati mbaya wengi ni wavivu wa kufanya home work kabla ya kuukabidhi moyo kwa mwenza. Mara nyingi unakuja kujua ukweli wakati ushazama mzima mzima. Kinachofuatia nimateso mwanzo mwisho.
 
Kuishi na mtu usiempenda ati kisa anakupenda ni mateso yasioelezeka bora nibaki mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…