katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
-
- #241
Asante sanaHuwa mi nampendaga katoto kazuri japo nahisi nikisema ataniona siko serious kisa anampenda wiz kid[emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanzie hapa...Inatokeaje mpaka ukahisi umempenda mtu??is it voluntary or Involuntary???
Unapoint kabisa ila kunaswali napenda kukuliza kama dady na mamy wameweza wewe kwani usiweze maisha yanaisha eti next year is 2020 dah ! Mimi kwa sasa sintoringa tena nikapate familia yangu hata mwakani niitwe mama fulani.
Najitahidi niache utoto na ujuaji maana haujanisaidia mpaka leo naacha sasa kusikiliza chochote.
Moyo wala kichwa.
Ilimradi sifa zipo naolewa.
Ipo siku nitarejesha mrejesho nimeolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kwahyo circle inaendelea au bado unausikilizia moyo wako[emoji7][emoji7]
Hamna tajiri mwenye utu wewe, labda wa huko green city!
Nimeambiwa eti kaliwa hela ake[emoji1787][emoji1787]Haha he sounds bitter
Naraha sana mpendwa sina hata stress hata kidogo niukweli tu naongea napia maisha yanaenda tu unajua maisha sio kuchagua utachagua mpaka wataisha kila unapokataa wanapata wenzako kila ukitaka kurudi nyuma unakuta vyumba vinampangaji.Punguza hiyo desperation kwanza, hata mwakani ikiwa 2030; so what?
Unajua mtu akichagua tunahisi yupo too picky; lakini lazima tu kuna choices utazifanya. Hawezi tu akaja mtu from nowhere akakwambia tu anataka kukuoa afu na wewe ukakimbilia ndoa bila kuangalia huyu mtu anafit vigezo vyako (cha muhimu). Ndoa sio majaribio bana, lazima mtu uwe makini kuchagua, maana ukikosea tu ndo utalia for the rest of your life. Kila la kheri, uolewe na ukaenjoy ndoa yako; sio ukadumu tu katika ndoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mi namzimikia Davido kinomaHuwa mi nampendaga katoto kazuri japo nahisi nikisema ataniona siko serious kisa anampenda wiz kid[emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika [emoji122]Punguza hiyo desperation kwanza, hata mwakani ikiwa 2030; so what?
Unajua mtu akichagua tunahisi yupo too picky; lakini lazima tu kuna choices utazifanya. Hawezi tu akaja mtu from nowhere akakwambia tu anataka kukuoa afu na wewe ukakimbilia ndoa bila kuangalia huyu mtu anafit vigezo vyako (cha muhimu). Ndoa sio majaribio bana, lazima mtu uwe makini kuchagua, maana ukikosea tu ndo utalia for the rest of your life. Kila la kheri, uolewe na ukaenjoy ndoa yako; sio ukadumu tu katika ndoa.
Sio lazima uwe tajiri ndio uwe na utu?Mmmh poleeee!!! Kwa hiyo maskini ndo wana utu?
Ukiona mpaka umeulazimisha moyo umegoma ina maana hamna chemistry kati yenu..Trust me kuna muda mapenzi yanagoma kabisa kujengeka. Angalau ndoa za wazee wetu ambazo unajikuta tu ndoani na huna option so unapambana na hali yako. Siku hizi tuna uhuru wa kuchagua tumtakaye; moyo ukigoma unauacha tu
Duh! Isee mr kanchibay sipendwi na mtu,,, wegine naona mnadai mnamoenda davido, mara wiz kid,, sasa mim mbona nnao wapenda hawanipendi jamaniii au ndo circle yenyewe hiii, ikiwa unaye mpenda naye hakupendi bali anampenda mtu mwingine
Kiukweli hayupo moyoni kabisa.. huwa sipendi kumuumiza mwanamke.. naongea hivi kwa jinsi nilivyolelewa na mama yangu.. alikuwa single mom kweli kweli.. lakini alinijali na kunipa usia juu ya maisha na namna ya kuwajali wapenzi au wasichana nitakao kuwa nao.. hii ilinifanya niwaheshimu wanawake na kuwapenda kutoka moyoni ikiwa pamoja na kuwajali kwa kila kile nilichokuwa na uwezo nacho.. naam kwa huyo nilijitoa kwelikweli hata kaka zake nilifikia hatua ya kuwaeleza kuwa mi namtaka yule mdogo wao nimstiri (nimuoe) ila dhihaka, kebehi, usista duu ulimjaa vibaya mno.. Yule jamaa na mm hatukuzidiana kipato kwa maana tulikuwa rank sawa.. ila yule jamaa alikuwa kicheche balaa mie nkawa nachukia na nikataka kumuoa yule manzi.. NAAM SASA AMESHTUKA LKN AMECHELEWA.. MAZIWA YAMELALA, TUMBO LIMESHUKA, TAKO LIMEISHA...Hehehe kaka ingekuwa waoaji mnatambulika kirahisi; dada zako tusingekuwa tunagendaheka na ulimwengu. Some people are good pretenders, unahisi ndoa hii hapa; kumbe mweeh ni tapeli konki. Na mwingine anaweza akawa genuine, ila msifanikiwe kufunga ndoa; mkashindwana kwa sababu ya mambo fulani fulani
Afu unavyomponda huyo ex; are you sure maumivu ya kukukataa yalishaisha?
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda
Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama
Sent using Jamii Forums mobile app