Yukowap Ezekiel malongo

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
871
Ujumbe unajieleza apo juu huyu jamaa nazani kila mmoja anamkumbka huyu jamqa enzi zile hakna live kwenye tv. Simba vs yanga. Ila kwa sasa na mda mrefu simsikii mwenye uwezo wa kufaham alipo na anajihusisha na nini kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom