MANUU MANGI
Member
- Apr 4, 2017
- 36
- 68
Kwa Polisi wengi kupelekwa FFU wanaona ni kama adhabuInasemekana amepelekwa FFU
Ilikuwa zamani siku hizi FFU wengi ni zao la JKT, yule askari yupo around about ya Kawe anaipenda sana kazi yake.Kwa Polisi wengi kupelekwa FFU wanaona ni kama adhabu
Hah haa..Ukishamuona ' utamzawadia ' nini Kitamu cha Kibaiolojia Mkuu?
Mayai tu ya kuku trei moja ataamua akaange au achemshe..Ukishamuona ' utamzawadia ' nini Kitamu cha Kibaiolojia Mkuu?