nafikiri sana anajuta sna. Walimdanganya sana CHADEMA. na kwa jinsi ninavyoijua Bukoba mjini sijui kama atashika nafasi ya nne katika UBUNGE.
naomba hii muiNOTE kisha mniulize baada ya uchaguzi.
Watu hawana inami naye ni ndumilakuwili tu.
sasa tuone kama Yeye Rwekatare atakuwa hata mshindi wa nne katika Uchaguzi wa ubunge wa Bukoba mjini.
naweza kukuthibitishi kuwa baada ya CHADEMA kujulikana kama chama cha KIDINI na UKABILA sijui kama watashinda kule Bukoba na Kigoma.
Siwaamini sana mijitu inayohama hama vyama hata siku moja...? if there is problem you solve it siyo kuhama/kukimbia chama well labda anaweza kuwa useful kwa chadema time will tell!
Lakini usisahau wafuatao waliokimbia vyama vyao..
tambwe (hopeless man), kabouro (hopeless man), masumbuko (hopeless man) lyatonga (ametuchosha wanamageuzi) ..the list goes on...
All the best lwakatare..however, you will never never get a trust from me...
Re: Yuko wapi Wilfred Lwakatare? Kumbe wewe umeuliza swali hili kwa lengo la kutaka kumdhalilisha Lwakatare? Huyu bwana amefanyakazi kubwa sana kule Bukoba katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimeshinda viti vingi kuliko hata hiyo CUF. Tusubiri tuone uchaguzi ukifika..
Mheshimiwa kwa vijembe?utafikiri uko kwenye rusha roho? by the way sijawahi kukuona kwenye mambo kama hayo au wewe ni jinsia nyingine?Acha uzushi, dalili ya mvua ni Mawingu; chini ya Mwenyekiti Lwakatare CHADEMA imeshinda mitaa na vijiji kuliko chama chochote cha upinzani majimbo yote ya mkoa wa Kagera ikiwemo jimbo lake la Bukoba Mjini
Asha
Lwakatare hakuwa muislamu ndo maana walimfukuza, CUF ni ya waislam(bisha au usibishe, huo ndio ukweli)!.Kujulikana kwa nani? Halafu anayetoa uthibitisho wa shutuma hizi ni CUF! Iko kazi. Kweli nyani haoni.......
Uwe unaona aibu siku nyingine. Si kila kitu lazima kiangaliwe kwa msingi wa dini kama unavyofanya wewe. Tuachie Tanzania yetu wewe bakia na huko uliko.
Amandla........
Ulikuwa unaaminika lkn kwa Hili la kusema CUF ndio linatoa shutuma za UDINI na UKABILA wa Chadema ni kufulia kwa Hali ya JUU...Kwa kanuni za Logic....Chadema ndio inatoa shutuma za UDINI kwa CUF kweli?..kwa utaratibu huu CCM itaendelea kushinda Daima!!!Kujulikana kwa nani? Halafu anayetoa uthibitisho wa shutuma hizi ni CUF! Iko kazi. Kweli nyani haoni.......
Uwe unaona aibu siku nyingine. Si kila kitu lazima kiangaliwe kwa msingi wa dini kama unavyofanya wewe. Tuachie Tanzania yetu wewe bakia na huko uliko.
Amandla........
Lwakatare hakuwa muislamu ndo maana walimfukuza, CUF ni ya waislam(bisha au usibishe, huo ndio ukweli)!.
Unamfahamu Tambwe Iza? muulize kilichompata mpaka akahamia CCM.
Chadema walipata viti vingapi na kafu walipata viti vingapi?Uko sawa kabisa mkuu,jamaa alidhani akihama cuf atahama na wanachama wake.hali imekuwa tofauti.juzi nilikuwa bk wakati wa uchaguzi wa selikari za mitaa.niligundua cuf bado wako juu bk mjini na km mwakani watapata mgombea makini,rwakatre atakuwa amefulia mazima.
Ndio nina hakika.Ulikuwa unaaminika lkn kwa Hili la kusema CUF ndio linatoa shutuma za UDINI na UKABILA wa Chadema ni kufulia kwa Hali ya JUU...Kwa kanuni za Logic....Chadema ndio inatoa shutuma za UDINI kwa CUF kweli?..kwa utaratibu huu CCM itaendelea kushinda Daima!!!
...Hio IKO wazi unaipata wapi? Are u trusting JF members kwa emotions zao za Vyama?Una hakika member fulani ni mwanachama wa CUF/Chadema/CCM thru contribution zao?
Mkuu siasa za bk mjini zimetawaliwa na udini Rwakatale alipendwa enzi za CUF kwa kuwa chama kilikuwa na mtizamo wa kiislam aliweza kushinda lkn alipopambanishwa na muislam mwenzie (Kagasheki) ukristo wake ukaonekana akaukosa ubunge,tuliokuwa Bukoba tuliviona vipeperushi vilivyokuwa vikisambazwa na vijana wa kiislam,cpendi kuamishia mjadala kwenye udini lkn ndo ukweli.Uko sawa kabisa mkuu,jamaa alidhani akihama cuf atahama na wanachama wake.hali imekuwa tofauti.juzi nilikuwa bk wakati wa uchaguzi wa selikari za mitaa.niligundua cuf bado wako juu bk mjini na km mwakani watapata mgombea makini,rwakatre atakuwa amefulia mazima.