Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
Jioni ya leo utaanza ku left magroupNi muda umepita huyu Waziri wa Madini, Angela Kairuki sijamsikia iwe Bungeni, Kwenye shughulu za Serikali au hata Kwenye shughuli za Kijamii.
Nilitegemea angetupa Mrejesho ule ukuta wa Mererani umefikia wapi? Atupe mrejesho kuhusu Makinikia na malipo yetu!
Yuko wapi Anjela Kairuki?
yuko maternity leave,
kila jioni ving'ora hupita kwenda kumsabahi yeye na mtoto.
Aiseeyuko maternity leave,
kila jioni ving'ora hupita kwenda kumsabahi yeye na mtoto.
Lisemwalo lipo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mna maneno wakuuu, haha haha haha
Ok,,king'ora cha ambulance auyuko maternity leave,
kila jioni ving'ora hupita kwenda kumsabahi yeye na mtoto.
B crfl wt wt u syyuko maternity leave,
kila jioni ving'ora hupita kwenda kumsabahi yeye na mtoto.
Hahahahahaahaaaaaaa!Jioni ya leo utaanza ku left magroup
wana Hamu ya kupimwa Mkojo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mna maneno wakuuu, haha haha haha