Hizi ndio siasa zetu na ndio huchukua nafasi kubwa kujadili vitu kama hivi,sasa hivi haijadiliwi tena hoja ya Magufuli kukimbilia Chato kwa kuogopa maambukizi ya corona kwamba et kila ikitokea mlipuko wa corona ukimbilia kujificha chato.
Sasa hivi Waziri mpango hajaonekana basi inahusishwa corona na akija kuonekana watu wanapotezea imeisha hiyo wanatafuta tukio lengine,ndio siasa zetu hizi tushazoea.