VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,137 Reaction score 2,267 Sep 15, 2013 #1 huyu jamaa nilikua napenda sana uchezaji wake, mara ya mwisho nilimuona akiwa mnene sana, alirudishwa yanga na mwalimu jack chamangwana akiwa anatoka moro united, jamaa alikua fundi sana
huyu jamaa nilikua napenda sana uchezaji wake, mara ya mwisho nilimuona akiwa mnene sana, alirudishwa yanga na mwalimu jack chamangwana akiwa anatoka moro united, jamaa alikua fundi sana
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 16, 2013 #2 Huyu kwa sasa ni Meneja wa timu ya Golden Bush FC inayoshiriki Ligi Daraja la nne, ukienda pale chuo Kikuu asubuhi utamkuta
Huyu kwa sasa ni Meneja wa timu ya Golden Bush FC inayoshiriki Ligi Daraja la nne, ukienda pale chuo Kikuu asubuhi utamkuta
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,903 Reaction score 13,891 Sep 16, 2013 #3 Alikuwa anatisha sana jamaa....
Box 2 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 506 Reaction score 117 Sep 16, 2013 #4 yupo hua namuona magomen,sisi watu wa yanga tukiziona mashine zetu huwa tunapata raha sana japo majeruhi yalikua yanamwandama sana huyu mido
yupo hua namuona magomen,sisi watu wa yanga tukiziona mashine zetu huwa tunapata raha sana japo majeruhi yalikua yanamwandama sana huyu mido