kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Natamani nijue kuhusu huyu dada.Jinsi alivyopokea suala la Nguza Vicking na mwanae Papii kocha kufungwa kifungo cha maisha.
Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha wa Rais?
Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namkaribisha katika Uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha wa Rais?
Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namkaribisha katika Uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app