Kwanini mkuu? Mimi nmeulza kwa nia njema tuu.Naona unaanza uchochezi ,na utakipata unacho kitafuta
Habari yenu wanajamvi,
Naomba kufahamishwa aliko huyo bwana mkubwa, maana tangu akamatwe na polisi hamna feedback yoyote inayotolewa. Ikumbukwe kwamba Masamaki alituhumiwa kuwa na utajiri wa mali nyingi ikiwemo nyumba zaidi ya 70.
Ningependa sana kufahamishwa aliko kwa sasa.
Natanguliza shukrani.
Subiri kdgo tunashughulikia tatizo la ungaBila kusahau wale jamaa wa milioni kadhaa kwa kila dakika sikuizi hakuna cha taarifa ya habari wala magazeti au ndio kusema vyombo vyetu vya habari vilirambishwa?....maana mwanzoni kila walipo pelekwa mahakamani tulijuzwa kwa tv na magazeti lakini sikuizi kimya
Mkuu unaturudisha nyuma!!! Hizi habari za masamaki zimeshapitwa na wakati. Sasa hivi habari ya mjini ni watu kutajwa hadharani wanaojihusisha na madawa ya kulevya. Wanakamatwa, tunafuatilia halafu baada ya muda wanatoka aidha kwa dhamana au wanasafishwa mfano askofu gwajima.Habari yenu wanajamvi,
Naomba kufahamishwa aliko huyo bwana mkubwa, maana tangu akamatwe na polisi hamna feedback yoyote inayotolewa. Ikumbukwe kwamba Masamaki alituhumiwa kuwa na utajiri wa mali nyingi ikiwemo nyumba zaidi ya 70.
Ningependa sana kufahamishwa aliko kwa sasa.
Natanguliza shukrani.
Unga ni jambo nyeti,hasa kipindi hiki cha njaaSubiri kdgo tunashughulikia tatizo la unga
HahahaaaaMasamaki yupo chanika huku anaendeleza tu mijengo yake.
Hahahaaa....bado kitilyaBila kusahau wale jamaa wa milioni kadhaa kwa kila dakika sikuizi hakuna cha taarifa ya habari wala magazeti au ndio kusema vyombo vyetu vya habari vilirambishwa?....maana mwanzoni kila walipo pelekwa mahakamani tulijuzwa kwa tv na magazeti lakini sikuizi kimya
Habari yenu wanajamvi,
Naomba kufahamishwa aliko huyo bwana mkubwa, maana tangu akamatwe na polisi hamna feedback yoyote inayotolewa. Ikumbukwe kwamba Masamaki alituhumiwa kuwa na utajiri wa mali nyingi ikiwemo nyumba zaidi ya 70.
Ningependa sana kufahamishwa aliko kwa sasa.
Natanguliza shukrani.
Analienzi jina lake? Masamakiyuko kwao ukara anavua samaki
Ni kweli ni nyeti ila umeonekana kuzidi sana mtaan hata wasio pika wanaunga unajiuliza wanaufanyia kazi ganUnga ni jambo nyeti,hasa kipindi hiki cha njaa