Ndoto gani?Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi hyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.
Narudi kuutafta usingizi tena.
Hapo umepatwa na taharuki gani sasaUnauliza kiunafiki kwamba Unataka kujua au una nia yako binafsi tofauti?!
Ujue alipo Msuya ili ikusaidie nini wewe?! Hebu waacheni hao waliostaafu na kupumzishwa kimadaraka wale pensheni zao kwa amani. Msipende kuundaunda mambo kuhatarisha amani na kuzua taharuki vichwani mwa watanzania.
Vipi umeota kama kapigwa Tanganyika jeki au?Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.
Narudi kuutafuta usingizi tena.
Wewe wasema.....Unachokiwaza hata hakipo kwa namna unavyofikiria.
Huku doria kilasekunde....Mapemaaaa
unataka umuajiri?Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.
Narudi kuutafuta usingizi tena.
Alikataa kwenda ubalizini.Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.
Narudi kuutafuta usingizi tena.