Yuko wapi Sheikh Mkuu wa Dar?

Aisee mange huyu walah ni mkombozi maana viongozi si kujinyea huko
 
Yuko uchi mkuu,, hukumbuki ka Mange kalivyomsasambua?
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Wakikujibu hili nitag
 
kaenda kumshtakia Mange chini ya bahari...
 
Kumbe ni kweli watanzania hawana akili timamu....sasa huyo Sheikh mkuu ndiyo serikali? Yeye kama Sheikh ana mipaka yake, si kulalama tu pasipo sababu.
 
Bado amechutama,,,, anatafuta pakujificha,,, ni baada ya KUVULIWA KANZU,, MSULI hadi BOXER na MANGE KIMAMBI..
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??

Matusi yapi??

Yanasababishwa na nini??

Ulijuaje kama ni matusi???

Jinga kabisa
 
sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;

Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.

Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Umeyasahau matusi ya Mzee Nkapa pale Jangwani? Mbona Sizonje alikuwa akiyafurahia? Kunya anye Kuku akinya Bats, kaharisha....
 
Mauaji ya kibiti mlikaa kimya pia
We kweli mpum..vu, walioomba bungeni suala hilo lijadiliwe kwa dharula na kukataliwa ni nani?
Mbona mnalishwa ujinga hapo Lumumba na kuwakosea heshima watu?
 
Mange kiboko Kuanzai IGP CDF Rais wa nchi walikua wanamjibu Mange
Halafu kuna watu wanamdharau Mange kama vile hana akili, Rais wa nchi akitokea kumjibu mtu ujue huyo mtu kajibiwa na serikali yote. Mange yuko sawa au hayuko sawa itabaki kuwa sio mtu wa mchezo
 
Sheikh atakua kahama na mji maskini. Anabishana na chizi ambae hana cha kupoteza.
 
Mbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.

Imekuwaje?
Jaribu kwenda pale Kinondoni zilipo ofisi za BAKWATA kama una shida muhimu atakutatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…