Ndo faida ya kuwa mjasiriamali.. Kazi za kupewa/kugombea zikifikia ukomo unaendeleaa na mambo yako.Yupo Morogoro anauza bidhaa dukani
yupo kwao India,anacheza sinema siku hizi.
Na Mama Kam yuko wapi?
Dr. Maria Josephine Kam? Kama ndiye, she is still going strong. Yuko Moshi, ana Foundation yake inaitwa Clementina Foundation.