Yuko wapi SHAMIM KHAN

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Mama huyu alikuwa mbunge na naibu waziri enzi za awamu ya tatu .........siku hizi yuko wapi?maana simsikiiii kabisa kwenye ulimwengu huu wa siasa.
 
Watu saaaaaaaaaaaaaaaaaafi kama hawa wako peponi wanao hata uwasikii wakijijanuary au wakijridhiwani
 
Ijumaa iliopita nilimwona akitembea kwa miguu akitokea upande wa Wizara ya Ardhi, Utumishi na Mipango. Mimi nilikuwa naenda upande wa Ferry naye akawa anavuka ile junction ya Luthuli na Kivukoni (Azania Front?). She looked quite fine and healthy. Ninaamini hajafulia. Kutembea kwa miguu naamini was just a matter of choice on her part kwa ajili ya kukeep fit.
 

Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiiislam Tanzania(JUWAKITA) Mama Shamim Khan akiongea katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa mtume Muhammad (SAW) katika Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro akionyesha rasimu ya kanuni ya katiba ya Bakwata itakayosambazwa kwa Wanawake wa Kiislaam nchi nzima ili kutoa maoni yao ipate kuboreshwa na kupelekwa kwa Baraza la Maulamaa na sehemu husika ikikamilika iweze kutumika kisheria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom