Yuko wapi Salome Daudi Mwambu

moseskwaslema

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
92
Reaction score
13
Hivi jamani naomba mnisaidie,watu wa iramba mashariki wanauliza mbona hawamskii na wala hawaoni mchango wa mbunge wao mama mwambu zaidi ya kumwona akisinzia bungeni kupitia televisions.

Wanasema kwakweli people are tired of here na wanasubiri 2015 wamtendee haki kijana wao mwenye uwezo mzuri na mwenye usingizi haba ili naye awatendee haki.

Huyu mama social capital yake ni ndogo kwani hana ushirikiano hata kidogo na watu wake,hili limethibitika kipindi alipofiwa na baba yake na akanunua vijana wa kuchimba kaburi na hiyo ni illegal according to our taboos and African culture at large,hivyo basi Singida siyo shamba la massm tena kwani mwigulu-out,mwambu-out,dewji-out [akasimamie timu yake ya african lyon],lwanji-nyumbani etc

Ndugu wananchi naomba kuwasilisha.
 
Kampeni za 2015 hazijaanza subirini tume ya uchaguzi itangaze rasmi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…