wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,085
- 1,059
Kwa wale vijana wenzangu wa 1997s enzi zile wana Dare salaam kibinda
Nkoi, pale silent in Mwenge (mpakani) mtakuwa mnamkumbuka kiongozi wa wacheza shoo mama Salma Abeid mamalao.
Huyu ama kwa hakika alikuwa Na msambwanda wa hatari..Na nyama za kutosha tu alikuwa mahiri Sana kwenye kucheza muziki.
Vijana wa sasa hivi hamuwezi kumjua huyu mama.tunazungumzia kipindi hicho Mwenge samnujaoma road ni single road. Kipindi hicho tunaleta gari chuo kutupeleka new silent in Mwenge kuwaona wana Darisalama kibinda nkoi.