Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Jan 7, 2011 #1 Nimem-miss sana. Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona. Yuko wapi?
Nimem-miss sana. Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona. Yuko wapi?
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Jan 7, 2011 #2 Kaolewa...mdomo fullstop
Shapu Platinum Member Joined Jan 17, 2008 Posts 2,123 Reaction score 820 Jan 7, 2011 #3 kweli aisee where is she?
Mkorintho JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 594 Reaction score 1,143 Jan 7, 2011 #4 Safari_ni_Safari said: Kaolewa...mdomo fullstop Click to expand... Ina maana baada ya kuolewa na career amechange ama? Yuko poa sana kiukweli na mfano mzuri kwny media industry
Safari_ni_Safari said: Kaolewa...mdomo fullstop Click to expand... Ina maana baada ya kuolewa na career amechange ama? Yuko poa sana kiukweli na mfano mzuri kwny media industry
K Kagasheki Member Joined Apr 12, 2010 Posts 34 Reaction score 0 Jan 7, 2011 #5 Huyu mwanahabari yuko Uingereza anajiendeleza kielimu.Tunamuombea ahitimu masomo yake ili arudi kuiendeleza taaluma yake ktk kutatua changamoto zinazotukabili hivi sasa.Hakika amejaliwa kipawa cha kujieleza vizuri na kukubalika miongoni mwa jamii.
Huyu mwanahabari yuko Uingereza anajiendeleza kielimu.Tunamuombea ahitimu masomo yake ili arudi kuiendeleza taaluma yake ktk kutatua changamoto zinazotukabili hivi sasa.Hakika amejaliwa kipawa cha kujieleza vizuri na kukubalika miongoni mwa jamii.
Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Jan 7, 2011 #6 Ng'wanangwa said: Nimem-miss sana. Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona. Yuko wapi? Click to expand... i also mic ha on media, mwenye habari atujuze.
Ng'wanangwa said: Nimem-miss sana. Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona. Yuko wapi? Click to expand... i also mic ha on media, mwenye habari atujuze.