Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Ulikua unawashwa muda mrefu inaonekana, uzalendo ukakushinda, ukaona umtafute humu
 
kwa uandishi huo wa kire badala ya kile hapo idara ya habari maelezo ungefanya vituko
 
wameshapiga sasa wanakula matunda ya wanyonge,.maskini watanzania walioibiwa madini,gas,kodi za bandarini,.walioteseka na maisha magumu,..na kuwapa wageni nafs kubwa nchini,...
leo wapo wanakula matunda ya wizi kma wataishi milele,....
 
Yupo...majuzi niliona akikabidhiwa gari la wagonjwa
 
Nafsi inamsuta anajua mahakama ya ufisadi inakuja na atakuwa top10 kwenda ku attend
 
yupo facebook na instagram, kila siku anapost mara 4
 
Umenena mkuu, kila zama na story zake
 
Yupo busy sana huko china akiendeleza ule mradi wake wa kusafirisha sembe.
 
Hizo ela zilitoka mfukoni mwa magu au ni kodi za watanzania?
Kwani kikwete alivyokuwa akijinadi kwa "Mamilioni ya kikwete" hizo pesa katoa kwenye mifuko yake?

Tuache maswali ambayo hayana msingi., hii ni kumaanisha hata yeye na baba yake woote wakiwa madarakani wameshindwa kulijali jimbo lao kwa vifaa vya msingi kama hivo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…