Yuko wapi Renatus Mkinga?

korojani

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
231
237
Siku nyingi sana sijamsikia huyu jembe, kajificha wapi?
Au kasi ya Rais Magufuli imemtisha?
 
Mdomo unalipa. Mkinga amekuwa mjumbe wa bodi ya Bandari yaani TPA baada ya tumbutumbua. Kwa wasiomfahamu bwana Mkinga, huyu ni mtaalam wa shipping na ktk maisha yake amefanya kazi ktk shipping company nyingi ulaya. source yeye mwenyewe ktk moja ya vipindi vya tv.
 
naa

naanza kua na mashaka na wanaojiita wanaharakati wa kwenye tv na radio.hii ndo ile inayo itwa mchawi mpe mtoto akulelee
 
Alikubali kutumika na maccm akawa amejishushia heshima yake ktk jamii sasa hivi ccm wameshamweka mfukoni kwisha habari yake Kama bwana yule
UNAKURUPUKA SANA/UMEKARIRISHWA
Jifunze kutafuta hoja mpya
 
Alifichwa kule bandarini alipewa kakitengo baada ya kupiga sana kelele..!

Mchawi mpe mwanao akulelee..
 
Yule Mzee anaongea sana kuna siku alinyimwa mic huku UDSM akazira akatoka alizomewa sana hahaha ila huwa anakusanya data nyingi hivyo kwenye mdaharo huwa anaupatia japo anaongea mno hadi anamaliza muda mzima... sasa hivi hana tena la kuongea keshaingia Serikalini... kikazi kama kweli.. ila mwenye mdomo hatoweza kuja kuongea baadae nadhani keshaona mambo magumu maana alilotaka limekuwa na wateja wamekimbia bandari so ameprove failure
 
Tz Bwana mmmmh MTU akisema shida,MTU akikaa kimya shida!!
 
Yule Mzee anaongea sana kuna siku alinyimwa mic huku UDSM akazira akatoka alizomewa sana hahaha ila huwa anakusanya data nyingi hivyo kwenye mdaharo huwa anaupatia japo anaongea mno hadi anamaliza muda mzima... sasa hivi hana tena la kuongea keshaingia Serikalini... kikazi kama kweli.. ila mwenye mdomo hatoweza kuja kuongea baadae nadhani keshaona mambo magumu maana alilotaka limekuwa na wateja wamekimbia bandari so ameprove failure
Kwa maana hiyo mkuu unataka kuniambia siku akipokonywa tonge alilopewa ataanza kupiga tena kelele na kuonekana kwenye television??
 
naa
naanza kua na mashaka na wanaojiita wanaharakati wa kwenye tv na radio.hii ndo ile inayo itwa mchawi mpe mtoto akulelee
Mkuu kelele za wanaharakati wengi ni kwaajili ya matumbo yao, wakipewa nafasi wanasahau kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom