Yuko wapi Prof. Mark Mwandosya?

Yupo kijijini tukuyu, hata membe yupo kijijini, wamegundua huu utawala unahitaji uangalifu wa hali ya juu vinginevyo unaweza kutekwa
Asante kwa taarifa mkuu. Ni hilo tu nilitaka kujua..........ila la kutekwa umeniacha hoi
 
unnamed%2B%252811%2529.jpg

Asante nimewaona. Mzee Wasira alijipanga vizuri kwenye picha
 
Wadau,

Niko nchini hapahapa. Tangu mzee magu aingie madarakani au niseme mambo mengi yametokea hapa nchini sijamsikia mzee Mwandosya na sijui alipo.

Mwenye taarifa tafadhali.
Yupo anaandika vitabu zaidi n.a. kuzeeka taratibu jimboni kwake
 
Mwandosya yupo MUST(Mbeya University of Science & Technology) kama mkuu wa chuo husika.......................
 
Wadau,

Niko nchini hapahapa. Tangu mzee magu aingie madarakani au niseme mambo mengi yametokea hapa nchini sijamsikia mzee Mwandosya na sijui alipo.

Mwenye taarifa tafadhali.
Yuko nyumbani kwake Mbeya.
Subiri 2020
 
Back
Top Bottom