Nilisema kuwa Taifa Stars tukifungwa na Sudan ndio itakuwa mwisho wa kiki za Pierre.
Ile ndio ilikuwa karata yake ya mwisho.
Pierre Liquid kwa uhalisia hana fungu maalumu katika medani za uchekeshaji hivyo alikuwa akiishi kwa matukio.
ha ha ha ha ha ha ha da jamaa yuko totaly fustrated yani ana PhD lakini haimsaidiii chochote alafu najiuliza emalis zipo kwanini asimtafute mke wake na watoto wake kama alikua tajiri kiasi icho.