Yuko wapi Pierre wa liquid?

2689895e9b4a4ff58af6dc53838b7368.jpg

Mwenzake huyu hapa
 
Nilisema kuwa Taifa Stars tukifungwa na Sudan ndio itakuwa mwisho wa kiki za Pierre.
Ile ndio ilikuwa karata yake ya mwisho.
Pierre Liquid kwa uhalisia hana fungu maalumu katika medani za uchekeshaji hivyo alikuwa akiishi kwa matukio.
 
Back
Top Bottom