Yuko wapi Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango?

Yuko wapi Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango?

Atasema nini? uliza yaliyomkuta Dr. Kimei baada ya kutoa tathmini ya benki yake
 
What are negative consequences of dictatorship?

First and foremost, under a dictatorship, the populace becomes afraid to speak out or ask for help from their government, as attracting the attention of a tyrant is generally a very bad idea. So broken things go unrepaired, crimes are not reported, people just suffer through the shortages and absurdities of life under an uncaring or hostile regime.
The apathy and hopelessness that set in result in a low birthrate and eventual economic downturns as there are fewer workers to fill jobs, since apathetic people have few or no kids, and decaying moribund countries seldom attract immigrant workers. 'Life is not worth living,' becomes a tacit agreement throughout the country. Romania under Ceausescu is an example of a dictatorship where banning birth control was done to force Romanians to have large families despite their poverty. Thus orphanages in Ceausescu's Romania became full of malnourished kids whose parents had abandoned them.
As the general population sinks deeper into deprivation and misery, two possibilities arise; rebellion and war. Successful rebellion will solve the immediate problem by removing the dictator, but the rebels will need to be vigilant lest their replacement government turn out to be as unjust and uncaring as the previous one. War and subsequent rapid defeat may save the population if enough survive and the foe cares enough to help rebuild and ally with the former dictatorship. The worst case scenario is that the dictatorship will win the war and enslave or kill off the people of the enemy country, increasing human suffering and injustice.

C&P
 
Heri Saada Mkuya yule wa Zbar! Si huyu.....huyu hovyo zaidi wote waliowahi kuongoza wizara fedha! !
f21593bf98150ee0bcfd3e7149276d2b.jpg

Ni mda mrefu sijamsikia Waziri wa Fedha na Mipango akiongea. Tokea alivyojikoroga kuelezea ni nani atalipa kodi ya mihamala ya simu na benki hajawai kutoka na kuongea tena.

Bandari imekauka hila kila mwezi TRA inavuka lengo,aje atueleze TRA wanavuka vipi lengo wakati TPA ndio chanzo mama cha mapato hapa nchini?

Waziri njoo utueleze kwanini hospitali wanalia ukata,amna dawa,vifaa tiba wakati wizara yako inakusanya pesa na kuvuka malengo,je pesa hazifiki uko hospitali au MSD?

Waziri toka utuelezee kwanini Wizara yako kushirikiana na Wizara ya Elimu imeamua kupunjwa wanafunzi mikopo wakati kila mwezi mnavuka malengo? Mwezi August Bodi ilichelesha hela ya Field Practical kwa kisingizio cha uhakiki lakini sasa hivi wamesema bajeti ya mkopo ina kikomo. Wakati bajeti za miaka iliyopita bajeti ya mikopo ya elimu ya juu ilikua haina kikomo?

Philip Mpango tuka uko ulipojificha uje utuelezee kwanini hali ya nchi kiuchumi imekua mbaya hivi?
 
Niliandika siku chache zilizopita nikipendekeza kama Mh. Rais atafanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri afikirie kumbadilisha Dr Mpango, sababu ni kupwaya kwenye wizara hii..haiwezekani toka bunge la bajeti kwisha na kukiwa na mabadiliko kadhaa ya sheria kwenye wizara yake ambayo yalileta sintofahamu kwenye utekelezaji wake lakin pia hali ya uchumi kwa ujumla kulega lega kutokana na kupungua kwa mizigo bandarini waziri hajawahi kuja mbele kutoa ufafanuzi wa mambo haya na mengine yanayohusu uchumi wa nchi..hivi karibuni hata Gavana Prof Ndulu alijitokeza kuzungumzia masuala ya fedha ya nchi kwa nini Dr Mpango anajificha? wakati mwngine hata Rais amelazimika kutetea masuala kadhaa ya fedha na uchumi ilihali yeye yupo!! si naibu wala kamishna yeyote wa wizara ya fedha amejitokeza kutoa ufafanuzi wa mambo yanayotatiza uchumi wetu, nilishauri pia wakati ule..pengine watu wa wizara hii wameathirika kisaikolojia kutokana na mahali wanapofanyia kazi, ofisi za wizara ya fedha/hazina zilivyo ni km gereza zinanyima uwepo wa mwingiliano kikazi na kimajukumu inavyotakikana..ni km zimejificha, sasa hali hii inaweza wafanya wazoee kujificha ficha..wahamishwe hapo tafadhali waletwe peupe!! nilisoma bajeti ya Dr Mpango zaidi ya mara mbili
 
...sikutarajia kwa msomi km Dr Mpango Mwl wangu hotuba yote kuwepo neno LIQUIDITY tatizo kubwa la serikali ni uhaba wa pesa kulipa matumizi ya mara kwa mara..alileta mabadiliko ya sheria ya manunuzi km dawa ya kutibu tatizo la serikali kuuziwa bidhaa na huduma kwa bei ya juu..wala sheria haina tatizo kabisa, tatizo ni serikali haiko LIQUID..! ilipe cash ione km tatizo la kupandishiwa bei litakuwepo!!!! mbona hawajiuliz tiket za ndege wakisafiri wanalipa cash..???
Kwa hiyo sishangai hata PS wake amejificha kuonana na wajumbe wa PAC..hadi sasa hawajui ni vipi wataongeza wigo wa ulipaji kodi, ni vipi sekta isiyo rasmi italipa kodi tukijitolea kuwaletea majibu ya changamoto hizi wanajificha..dont think wamewekwa hapo ili wawe KEEPERS!!
Lakini pia nadhani wanaomshauri Mh. Rais kuhusu teuzi mbali mbali hawafanyi sawa sawa assignment yao..
 
tena na mie juzi nilitaka muulizia huyu waziri, simsikii kabisa
 
Tulishazoea magumashi brother tight more
 
afanye mijadala kila kanda ya nchi, au kila mkoa asikie changamoto za maeneo mbalimbali,sasa yeye kakaa ofisini anasoma mafaili
Hahaha hiyo ni miez 2 kabla ya uchaguz hapo hela itaachiwa jins watu tulivyo tutasahau yote haya
Mwenzako yuko Seoul anamuwakilisha Magufuli kwenye mkutano wa kiuchumi baina ya Korea na Afrika wewe umekaa nyuma ya keyboard unaandika udaku. Shauri yako.
 
Huyu ndo alikuwa anavuka lengo la makusanyo kila mwezi sasa kawa Makamu wa raisi nahis watavunja hadi record za dunia saivi
 
Back
Top Bottom