Nawasalimu.
Yuko wapi Pendaeli Omari aliyekuwa anafanya kazi ya utangazaji TBC1...
yule jamaa ni hodari wa kuandaa vipind na kutangaza pia, anajua kuipamba taarifa na kumshawishi mtazamaji,
binafsi nilimjua miaka ya 2009.. kupitia kipindi cha kila siku cha jambo Tanzania kilichokuwa kinarushwa na TBC1 kila asubuhi.
Lakini cha ajabu jamaa na uhodari wake amepotea ghafla katika medani ya utangazaji..
Yuko wapi?