Yuko wapi Nancy Mitikiso Salamba?

Yuko wapi Nancy Mitikiso Salamba?

Dah! RahaTupu Ilikuwaga noma sana. Nakumbuka kuna wakati wakafanyaga na sherehe kabisa kama get together hivi. Ilifanyika maeneo ya Sinza nadhani.

Ila all in all ile page ilikuwa noma sana na ilituunganisha sana maana ilikuwa inaleta vitu adimu vya kienyeji kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom