Yuko wapi Nancy Mitikiso Salamba?

Yuko wapi Nancy Mitikiso Salamba?

Aisee ni kitambo sana nlikuwa naiba Nokia ya ku flip ya mzee niingie huko pamoja na blog ya.. dinahicious sex relationship... Majambo...

Magazeti ya ijumaa weekenda, uwazi nk yalikuwa yana story za moto sana.

Hio ni 2010s
Huyo dinahicious aliniharibu sana Kmmk zake , hivi yule alikuwa ni nani !?

Daahh story zake za kukulana kulana tena tena anal sex ndio zake
 
Nancy mitikisiko alikua balaa,ile blog ailiiacha kama pango tu baada ya sheria ya makosa ya mtandao kupitishwa rasmi nae akatangaza kuachana nayo..

Kuna wazir aliwahi kumtumia hela ya laptop mpya milion 4 ili aendelee kushusha vitu ni baada ya kwake kuharibika nadhan
Hee !! 🤣🤣

Waziri alinogewa !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom