Yuko wapi Naibu Waziri mkuu mstaafu Dr Augustino Lyatonga Mrema?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,960
141,956
Ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mtetezi wa wanyonge Naibu waziri mkuu pekee kuwahi kutokea Tanzania.

Mwenye kujua ukimya wa nguli huyu wa kutetea wanyonge kulikoni anijuze tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni utamaduni wetu watanzania toka enzi tukiitwa Watanganyika kutozungumza wakat wakula chakula, huyu bwana kwasasa anakula posho ya serikali kupitia bodi ya Parole akiwa kama mwenyekiti wa bodi hiyo kwahiyo ukimya wake usikushangaze sana maana anatii tamaduni yetu ya kutozungumza wakati wa kula. Ahsante
 
Ni utamaduni wetu watanzania toka enzi kutozungumza wakat wakula chakula, huyu bwana kwasasa anakula posho ya serikali kupitia bodi ya Parole akiwa kama mwenyekiti wa bodi hiyo kwahiyo ukimya wake usikushangaze sana maana anatii tamaduni yetu ya kutozungumza wakati wa kula. Ahsante
Kwani Mrema alistaafu Unaibu Waziri Mkuu?
 
Ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mtetezi wa wanyonge Naibu waziri mkuu pekee kuwahi kutokea Tanzania.

Mwenye kujua ukimya wa nguli huyu wa kutetea wanyonge kulikoni anijuze tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi huyu jamaa amewahi kuwa naibu waziri mkuu eeh? Hivi hiki cheo kipo kweli au kinewahi kuwepo?
 
Ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mtetezi wa wanyonge Naibu waziri mkuu pekee kuwahi kutokea Tanzania.

Mwenye kujua ukimya wa nguli huyu wa kutetea wanyonge kulikoni anijuze tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!

Una uhakika kuwa ndie naibu waziri mkuu pekee kuwahi "kutokea" Tanzania? Halafu ni kwa vipi mtu hutokea kwenye cheo?
 
Ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mtetezi wa wanyonge Naibu waziri mkuu pekee kuwahi kutokea Tanzania.

Mwenye kujua ukimya wa nguli huyu wa kutetea wanyonge kulikoni anijuze tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Umejaribu kumuulizia huko Kiraracha?
 
Dr Salim Ahmed Salim wakati Judge Joseph Sinde Warioba akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais first term ya awamu ya pili.
Next time do your homework.
Hahahaa...... kwi....kwi....kwi!

Wewe ni mwanasiasa kweli?!!........ Hahahaa.......!!!

Dr Salim alikuwa Naibu waziri mkuu?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom