Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,327
- 3,339
Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri.
Lakini kinacho nishangaza tangu tukio la juzi pale kisutu na viunga vya Dar es salaam la kuwashambulia na kuwateka wana Chadema.
'Mzalendo' huyu Paschal Mayalla amekuwa kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea. Kulikoni ukimya huu Paschal ?