KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Wadau wa michezo hususan soka yuko wapi huyu mwanasoka nguli nahodha wa timu yetu ya taifa kwenye miaka ya tisini?Nani anajua alipo kama yuko hai na anajishughulisha na nini?maana ni miaka mingi sijamsikia popote akitajwa ama kuonekana,ni aghalabu kuwaona wanasoka mbalimbali wa nguli wa enzi hizo wakitumika kufanya tathmini na chambuzi mbalimbali katika michezo ya soka kitu ambacho tulitegemea pia kumuona akifanya nahodha wetu huyu wa zamani aliyerithi mikoba ya unahodha kwenye timu yetu ya taifa kutoka kwa marehemu ISSA ATHUMAN MGAYAambae alikaana mikoba hiyo kwa muda mrefu nadhani baada ya CHARLES BONIFACE MKWASSA kustaafu.
Watu wa mpira popote mlipo msaada tutani yu wapi Hussein???
Nawasilisha.
Watu wa mpira popote mlipo msaada tutani yu wapi Hussein???
Nawasilisha.