Yuko wapi mwanasiasa nguli Habib Mchange?

Wanamiliki magazeti mawili ya jamvi la habari na Tanzanite ni watu hatari kwa chadema kuliko binadamu yeyote Tanzania hii
Umewapaisha sana mkuu, watu hatari kwa Chadema ni cops na hawa wanaoitwa DED ambao huvalishwa koti la NEC kwenye chaguzi za majimboni.
 
Huyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
Mwanasiasa nguli au nguru?kila siku mnashinda naye lumumba alafu unakuja kutufanya mandunya?au wewe ni wale wa dodoma?
 
Wewe kweli nimeamini kumbe unaishabikia ccm ukiwa makutupola yaani hata hapo ofisini lumumba hujawahi kukanyaga na hawakujui maana ungekuwa unafika lumumba usinge post huo ujinga juu ya Habibu maana anashinda lumumba kila siku
Alisha achana na siasa.
 
Duuuh...ni hatari sana
 
Hatimaye amebaki historia tu, kwishney.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…