Yuko wapi mwanaCCM Ismail Aden Rage?

Huyu jamaa ni Simba OG.

Atakua anavuna asali Tabora kwao huko.
 
CCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .
Yupo wenje?yupo highnes?yupo wapi vinceny nyerere?acheni ukarai nyie watu yaani mnashindwa kabisa kuleta hoja mnaleta vioja!kweli sasa hivi hamna agenda kilichobaki ni kuokoteza vioja
 
Labda ameshatubu na kuamua kuachana na siasa za maji taka na istoshe huyu mdingi wa sasa sio kama yure aliyepita mdingi huyu ananongwa sana ukitoka nje kura bata kazi unayo pesa umepata wapi na utachunguzwa umeiba au uliongeza sifuri kwenye mradi Fulani basi kazi unayo na jela inakuita
 
Nakumbuka aliwahi kusema mashabiki wa simba ni mambumbumbu.

hapo hakukosea lakini.
 
CCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .
Itakuwa faraja sana kwangu siku CCM ikimtupa binadamu anayeitwa Nkamia.Anatuanzia mjadala wa kipuuzi utakaoishia kuligawa Taifa.Hovyo sana huyu jamaa.
 
Mmmmm this is NOT true. Tabora ni ndogo hayo unayosema hayaonekani
 
Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .


Umesahau:

Alipohojiwa kwanini amepanda jukwaani na pisto, alijibu "tatizo ni upepo ulipopuliza uliinua shati langu na pisto ikaonekana hadharani"
 
Yupo wenje?yupo highnes?yupo wapi vinceny nyerere?acheni ukarai nyie watu yaani mnashindwa kabisa kuleta hoja mnaleta vioja!kweli sasa hivi hamna agenda kilichobaki ni kuokoteza vioja

Mbona unawashwa washwa wewe tuliza kishuzi uzae.
 
Muhina acha uongo embu sema gari gani zinazozagaa zarage tabora zitaje hapa
 
Kwanza ingefaa uchunguze uyasemayo. Rage baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Raisi Mkapa, alifungua kesi ya kulisafisha jina lake na kuonyesha mahakama kuwa alifungwa bila ya hatia.

Mahakama ya rufaa haikumkuta na kosa lolote lile na kulisafisha lake.

Pili huyu ni msomali na hawa ndugu zetu hawakurupuki ni watu wenye msimamo na wanapenda kuheshimu na kuheshimiwa. Rage kashindwa ubunge na amekubali kushindwa, haoni sababu ya kufanya siasa zisizo na tija akijua kuna mbunge na kipenzi cha wana Tabora.

Ukitaka kuwajua wasomali mashuhuri Tanzania na wakivyokuwa na heshima:
1.Kinana
2.Rage
3. Bashed
4. Marehemu Dirie aliyeku waziri na alitokea Zanzibar.
5. Mohamed Msomali mchezaji mpira.
6. Hassan Gobos- mpira
7. Bw Karie kiongozi wa FAT
8. Agostino Mrema.
9. OMARI MUHAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…