Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,170
- 282,923
CCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .Hivi ni bado Mbunge?
Natoa wito kwa klabu yangu ya simba kujiweka mbali na Rage .Nasikia mara ya mwisho alielekea FIFA na mwanasheria
Huenda simba wanafahamu alipo zaidi
Huyu jamaa maneno mengi,muongo muongo sana
Aliwahi pia kuwatukana wanasimba pale Police Officers Mess na akadai hana njaa , unaonekana unamjua sana , vipi bado anaabudu ccm badala ya Mungu aliyemuumba ?Kwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yakAlie! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
Aliwahi pia kuwatukana wanasomba pale Police Officers Mess na akadai hana njaa , unaonekana unamjua sana , vipi bado anaabudu ccm badala ya Mungu aliyemuumba ?
Vitisho kibaoHuyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .
Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .
Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.
Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
Hivi unakijua kisa cha kumuulizia ?hakuna swali hapo
umepata majibu yako, haya mengine ni kutapatapa
Shukrani mkuuVitisho kibao
View attachment 690392