Kwa muda sasa Mtangazaji huyu mweledi na makini hajaonekana katika vipindi vyake alivyokuwa akiviongoza kwa ustadi wa hali ya juu huku akibainisha upeo wake mpana katika masuala kadhaa.
Kuna mdau yeyote mwenye taarifa za bwana huyu?, Star TV imepwaya sana; vipindi vyake vya jumamosi asubuhi na jumatatu usiku vimetoweka!...
Doto Bulendu ni Kichwa sana na sijui walimpata wapi maana watu kama wale hupatikana BBC,CNN,VOA sasa hawa makanjanja wa Star Tv sijui walimnasa wapi yule jamaa..Yule ni zaidi ya MwanahabariKwa muda sasa Mtangazaji huyu mweledi na makini hajaonekana katika vipindi vyake alivyokuwa akiviongoza kwa ustadi wa hali ya juu huku akibainisha upeo wake mpana katika masuala kadhaa.
Kuna mdau yeyote mwenye taarifa za bwana huyu?, Star TV imepwaya sana; vipindi vyake vya jumamosi asubuhi na jumatatu usiku vimetoweka!...
doto bulendu ni kichwa sana na sijui walimpata wapi maana watu kama wale hupatikana bbc,cnn,voa sasa hawa makanjanja wa star tv sijui walimnasa wapi yule jamaa..yule ni zaidi ya mwanahabari
Minamtakia safari njema ndg doto blendu maana huku star sasa hakufai.jiurize pacha wake siku izi yuko bbc anakula bata bila shida!
Doto Bulendu ni Kichwa sana na sijui walimpata wapi maana watu kama wale hupatikana BBC,CNN,VOA sasa hawa makanjanja wa Star Tv sijui walimnasa wapi yule jamaa..Yule ni zaidi ya Mwanahabari
Minamtakia safari njema ndg doto blendu maana huku star sasa hakufai.jiurlize pacha wake siku izi yuko bbc anakula bata bila shida!
Yahaya alifanya kazi nzuri sana na Dotto ktk vipindi vyao star tv, na ninajua kuwa Yahaya yumo jamvini humu; unaweza kuwa na habari za Dotto utujuze?
Yahaya alifanya kazi nzuri sana na Dotto ktk vipindi vyao star tv, na ninajua kuwa Yahaya yumo jamvini humu; unaweza kuwa na habari za Dotto utujuze?