PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,180
Ohooooo!!!Nadhani yupo sehemu, japo kipindi kile walidai kuwa eti ni miongoni mwa wale "wanaotumia zile dawa za kumeza hadi mwisho wa maisha yao"
-Ndumilakuwili-
Ohooooo!!!Nadhani yupo sehemu, japo kipindi kile walidai kuwa eti ni miongoni mwa wale "wanaotumia zile dawa za kumeza hadi mwisho wa maisha yao"
Alisha staafu utangazaji ana shughuli zake binafsi
Duu! Siasa hazijawahi kumuacha mtu salaamMzee alidhani ccm inampenda akaenda kugombea ubunge huko kwako mzee walimbwaga mapema kura za maoni wajumbe walisema hajawahi kwenda kwao MIAKA yote
Sent using Jamii Forums mobile app

Pamoja comrade

Mi namuulizia david ramadhan sikuizi sijui yuko api?
Duhh......Nadhani yupo sehemu, japo kipindi kile walidai kuwa eti ni miongoni mwa wale "wanaotumia zile dawa za kumeza hadi mwisho wa maisha yao"
Kituo gani? namuongelea yule aaliyekua TBC machachari sana.Huyu Yupo mbona..
Saspenda