Yuko wapi mtangazaji maarufu RAINFRID MASAKO yule wa ITV

Yuko wapi mtangazaji maarufu RAINFRID MASAKO yule wa ITV

Baba kastaafu..mambo ya kutumwa na mtu hadi una miaka zaidi ya 60 unaambiwa what you should or should not do aliona imetosha.. na yeye akatimize ndoto zake nyingine..
 
Yupo Dar maeneo ya Mbagala alishindwa kwenda kwao Mahenge.
 
Ameanzisha kiwanda cha mafuta ya nazi. Anapiga hela taratiiiibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom