Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

lazima awaze sana, mana hata uchaguzi wa serikali za mitaa jimboni kwake chalii
 

Sasa mlimkamatia wa Red Light district kama Ohio St au vipi?
 

Hahahahaha! Mzee six akapambana na pupwe!
 
Ase wana mtandao wametumia udhaifu wake vizuri sana kumnyamazisha just saicological, mnakumbuka ni kama walivyomfanyia wkt ule, kwa kisingizio eti waweke mambo sawa ya fifty fifty mjengoni, cjui hakuusoma mchezo loh.
 
Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?

Mtu ukishakubali kupokea nishani maana yake ni asante kwa kazi yako na sasa hatukuhitaji.Alishapokea nishani kama alama ya shukrani baada ya kustaafu
 
Yule, Chenge pamoja na mwenzao wa magogoni ni mkosi katika Tanganyika yetu!
 

Hivi haimuumi kuwa wezi wenzie alioandika nao KATIBA SENGE, wamepiga tena hela ndefu ya ESCROW?
 
Hivi haimuumi kuwa wezi wenzie alioandika nao KATIBA .........! wamepiga tena hela ndefu ya ESCROW?
Kwa hiyo Sitta cannot be a Saint in the company of villains, ukichunguza sana si ajabu naye kapitiwa na escrow!
 

Sita aliingizwa mjini na mafisadi akina chenge wakamtanguliza mbele kuisigina katiba mpya.akajiona kidume kumbe anajimaliza na huku akiwasafishia njia mafisadi akina chenge na lowasa
 
Sita aliingizwa mjini na mafisadi akina chenge wakamtanguliza mbele kuisigina katiba mpya.akajiona kidume kumbe anajimaliza na huku akiwasafishia njia mafisadi akina chenge na lowasa

Ote dugu moya hao.chain hiyo..
Wakikosana hapa wanapatana paleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…