Yuko wapi mh.rais jk

Jan 16, 2007
721
176
Mambo mengi yametokea na yanaendelea kutokea yenye uzito wa kitaifa na kuitikisa nchi,hatusikii kauli yoyote kutoka kwa Mh.Rais.Mfano mzuri yaliyotokea katika kampeni za uchaguzi vurugu,wizi wa kura na vurugu katika kuwapata mameya na viongozi wa halimashauri za wilay,migomo ya wanafunzi na walimu wa vyuo vikuuu-ambapo risasi za moto,mabomu ya kutoa machozi,maji ya kuwasha na virungu na ubabe wa vyombo vya dola- Imekua jambo la kawaida.Kubwa zaidi ni mauaji yaliyotokea Arusha na swala la malipo ya umeme kwa kampuni ya Dowans,maswala ambayo nafikiri kwa Mtanzania yeyote na asie Mtanzania ni mambo muhimu yaliyo na yanayoendelea kuitikisa nchi.Pamoja na yote hayo Rais Mh.JK kimya kana kwamba ni mambo ya kawaida.Na badala yake tunashuhudia kauli za viongozi wa ccm na serikali zikipingana.Hali hii inatupeleka pabaya kwani waswahili walisema "usipoziba ufa utajenga ukuta"MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Yupo tu, nani jk??aaaah yupo sanaa tu na kesho anaenda MSOGA kuangalia maendeleo ujenzi wa kasri lake jipya.
 
Mbona yupo sema hajui kama kuna yooote hayo hapo uliyosema mkuu!
 
Jk rais au? mbona bwana mkubwa yupo? anasikilizia tu atoke na lipi! ahadi nyingine au aaaanze na alizoahidi kwenye kampeni!
 
yupo anacheza kiduku pale magogoni, inasemekana anapanga kwenda kubembea na kubadilisha damu ulaya hivi karibuni
 
hayo yanayotokea hayamuhusu yeye ,kumbuka tu kuna mtungo mzima hadi mambo yafike kwake ,yaani kama wewe ni mfanyakazi wangu afu unaniletea habari hizo juu ya meza ujue nikimaliza kuzisoma huna kazi, hivi katika yote hayo kuna kazi ya raisi hapo ,sasa kuna faida gani kuwa na mawaziri,mahakama ,polisi na kadhalika ? Nyie vipi ,ivi mmelogwa ?
 
Yupo bize ikulu akiandalia kada mbali mbali pati ya mwaka mpya. Kaanza na mabalozi, wake zao, marafiki zake, mafisadi wenzie. Sijajua ni kundi gani litakuwa next kualikwa. Akimaliza hapo ratiba yake inaonyesha atkuwa safarini kikazi kutembeza bakuli ili watz msife njaa. I hate this Kikwete
 
Mambo mengi yametokea na yanaendelea kutokea yenye uzito wa kitaifa na kuitikisa nchi,hatusikii kauli yoyote kutoka kwa Mh.Rais.Mfano mzuri yaliyotokea katika kampeni za uchaguzi vurugu,wizi wa kura na vurugu katika kuwapata mameya na viongozi wa halimashauri za wilay,migomo ya wanafunzi na walimu wa vyuo vikuuu-ambapo risasi za moto,mabomu ya kutoa machozi,maji ya kuwasha na virungu na ubabe wa vyombo vya dola- Imekua jambo la kawaida.Kubwa zaidi ni mauaji yaliyotokea Arusha na swala la malipo ya umeme kwa kampuni ya Dowans,maswala ambayo nafikiri kwa Mtanzania yeyote na asie Mtanzania ni mambo muhimu yaliyo na yanayoendelea kuitikisa nchi.Pamoja na yote hayo Rais Mh.JK kimya kana kwamba ni mambo ya kawaida.Na badala yake tunashuhudia kauli za viongozi wa ccm na serikali zikipingana.Hali hii inatupeleka pabaya kwani waswahili walisema "usipoziba ufa utajenga ukuta"MUNGU IBARIKI TANZANIA

Bado designer suti yake ya kutoka nayo siku muafaka haijakamilika.

Itabidi aende USA kufanya shopping nyingine kwanza.
 
hayo yanayotokea hayamuhusu yeye ,kumbuka tu kuna mtungo mzima hadi mambo yafike kwake ,yaani kama wewe ni mfanyakazi wangu afu unaniletea habari hizo juu ya meza ujue nikimaliza kuzisoma huna kazi, hivi katika yote hayo kuna kazi ya raisi hapo ,sasa kuna faida gani kuwa na mawaziri,mahakama ,polisi na kadhalika ? Nyie vipi ,ivi mmelogwa ?

Wewe kama sio Makamba basi utakuwa Januari au jiz1 make hakuna mwingine mwenye mawazo mgando,zandiki,juha na asiejua kwamba ipo siku chamoto atakiona.
Hamtauona ufalme wa Mbingu wewe wala wajakazi zenu na vilembwe pia na mtakufa huku nafsi zenu zinawasuta.
 
hayo yanayotokea hayamuhusu yeye ,kumbuka tu kuna mtungo mzima hadi mambo yafike kwake ,yaani kama wewe ni mfanyakazi wangu afu unaniletea habari hizo juu ya meza ujue nikimaliza kuzisoma huna kazi, hivi katika yote hayo kuna kazi ya raisi hapo ,sasa kuna faida gani kuwa na mawaziri,mahakama ,polisi na kadhalika ? Nyie vipi ,ivi mmelogwa ?

Kwa ulichokiandika naona kam vile ww ndo umelogwa! au umelewa?
 
Back
Top Bottom