juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Huyu member alikuwa anaanzisha sana nyuzi hapa kwenye jukwaa la siasa,nakumbuka uzi wake mmoja ulishawahi kujibiwa na waziri wa mambo ya ndani Mh.Mwiguru Nchemba.nadhani ule ulikuwa ni uzi wake wa mwisho hapa .sijaona akiwekaa tena uzi wala akichangia nyuzi zingine.nimetembelea karibu majukwaa tofauti sijamuona ,je yupo wapi huyu member mwenzetu? Au amebadilisha ID?