Yuko wapi Mbunge wangu Cyril Chami?

Yuko wapi Mbunge wangu Cyril Chami?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,473
Reaction score
17,979
Ni muda mrefu sasa sijamsikia au kumwona mbunge wangu, wa jimbo la moshi vijijini Ndg Cyril Chami.

Mara ya mwisho kumsikia ni alipojiuzulu/achishwa nafasi yake ya unaibu Waziri.

Yupo wapi Cyril Chami?
 
hivi bado ni mbunge moshi vijijini?
 
Badala ya kuuliza anaumwa nini wewe unauliza yupo wapi?Hivi huna macho ya kuona kuwa mheshimiwa sana Chami anaumwa?
 
Yuko Dodoma,anafundisha St.John
 
Back
Top Bottom