Yuko wapi Mama Mdogo??

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Jamani eh, kuna huyu mama wa nguvu na lemba lake anaitwa Mama Mdogo siku hizi simuoni barazani, kuna mwenye habari zake? Nazimiss kweli busara zake!
 
Ambassador, asante kwa kunikumbuka. Nipo nimerejea maeneo ambako naweza kusoma na kuchangia kwenye mitandao. Kwa miezi kadhaa nilikuwa kwenye mihangaiko ya maisha huko mikoani na nchi jirani. Si unajua tena shillingi imeota matairi na ni lazima uikimbize huku na kule.
 
Welcome back Mama Mdogo. Pole na mihangaiko, hope umezichanga za kutosha..!!
 
Hongera MAMA MDOGO kwa kuifukuza shilingi ilhali siku hizi imeota matairi. Kwak kweli imenikumbusha wimbo wa MAX BUSHOKE akiwa na DDC MLIMANI PARK (Mesenja kaleta balaa) miaka ya 1986. NI full Buridani

Bazazi ni Bazazi!
 
Back
Top Bottom