Ulikuwa jela nini,juzi juzi alikuwa UN na wake wa2Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni nn?wadau nisaidien kuhusu huyu mtu..kuna umuhimu wwt wa kua na hiyo nafac?
Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni nn?wadau nisaidien kuhusu huyu mtu..kuna umuhimu wwt wa kua na hiyo nafac?
Makamu wa Rais siku hizi anashinda ulaya kusubiri mikutano ili amuwakilishe JK hasa mikutano ya kisayansi na technologia....ana miezi 2 sasa hajarudi anatumbua kodi yetu na wake zake 2 wale rasmi!!
Anaongeaga kama shoga
Mpemba asilia yule, mdebwedo mdebwedo.