Yuko wapi makamu wa Rais?

Yuko wapi makamu wa Rais?

Kafuta

Senior Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
119
Reaction score
29
Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni nn?wadau nisaidien kuhusu huyu mtu..kuna umuhimu wwt wa kua na hiyo nafac?
 
Kupeana ulaji maana yupo waziri Mkuu ambaye ndie kiongozi wa shughuli za serikali sasa huyu sijui anafanya kazi gani
ndo maana hata haonekani anapwaya
 
amepewa shavu ili asahau maumivu ya urais Zanzibar, lakini hakuna kitu!
 
atakuwa shule fulani ya msingi anafudisha sayansi.
 
Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni nn?wadau nisaidien kuhusu huyu mtu..kuna umuhimu wwt wa kua na hiyo nafac?
Ulikuwa jela nini,juzi juzi alikuwa UN na wake wa2
 
Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni nn?wadau nisaidien kuhusu huyu mtu..kuna umuhimu wwt wa kua na hiyo nafac?

Anavunja jungu sehemu!
 
ci unajua na yeye kaupata kimagumashi ili avunje kambi yake iliyokua inampinga shein.wakaona isiwe taab mleteni na mdogo ake shamc watulize kipapo.Aaa baba akaona usinitanie.now full bata
 
katiba mpya ni lazima coz sioni sababu ya kuwa na m/raisi Tanzania
 
Makamu wa Rais siku hizi anashinda ulaya kusubiri mikutano ili amuwakilishe JK hasa mikutano ya kisayansi na technologia....ana miezi 2 sasa hajarudi anatumbua kodi yetu na wake zake 2 wale rasmi!!
 
Hapo abahatishe kuwe na mikutano mi2 at par, make jamaa asivyopenda kuwakilishwa hasa inapokuwa ni nje ya nchi! Ataenda hata nafasi za Mawaziri ili apate kuja kutumbua nchini kwa kutoa semina elekezi.
 
Back
Top Bottom