technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,634
- 58,272
Huku kwetu tumevuruga kila kitu kuanzia katiba yetu wenyewe hadi ya taifaJana sijaona akitambulishwa bungeni
Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ?
Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi?
Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine?
Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
Alienda nje kwenye mkutano kumwakilisha Rais katk mkutano flan nahis ni ParisJana sijaona akitambulishwa bungeni
Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ?
Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi?
Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine?
Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
Sio kwa nchi hii. Watu ni waroho wa madarakaDesignated Survivors
Alisha kuambieni anataka kupumzikaJana sijaona akitambulishwa bungeni
Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ?
Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi?
Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine?
Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
Makamu wa Rais ana shughuli gani bungeni?Jana sijaona akitambulishwa bungeni
Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ?
Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi?
Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine?
Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?