Yuko wapi Lowassa?

Mimi au wewe,polisi wako,mahakama yako,mahabusu yako,magereza yako lakini unashindwa kumshika mwizi na kumshtaki
 
Chadema dream ya kupata nchi ilizikwa siku jamaa amehamia huko. Ni mamluki katumwa nyie bila kujiongeza mkafikiri mmepata.
Rais wa term mmoja ni ndoto za alinacha za saa nane mchana jua kaliiii
 
Amerudi ccm kimya kimya baada ya mwenyekiti wa chadema kuanza kuuza ngada
 
Chadema dream ya kupata nchi ilizikwa siku jamaa amehamia huko. Ni mamluki katumwa nyie bila kujiongeza mkafikiri mmepata.
Rais wa term mmoja ni ndoto za alinacha za saa nane mchana jua kaliiii
Haina shida joto ya jiwe si wote tunaipata haina cha upinzani wala chama chakavu tusubiri matokeo.
 
Yule mzee hana neno kama alivotulia baada ya kujiuzuru uwaziri mkuu aisee sijui aliibukia wapi na yale mafuriko, kwaio si ajabu akatulia mpka 2020 na mafuriko kama kawaida......
 
weeewe acha atulue bwan magufuli akiamua kumtolea macho hamna kesi atakayotoka...kuuza madawa yupo..kutumia madaraka vibaya yupo.na ufisadi ndo usiseme so nayeye mjanja pia anaona bora asahaulike
 
Madawa y kulevya ni issue nzito na pia mwenyekiti wake katuhumiwa. Huoni umuhimu wa kauli yake?
Inaonekana umewahi hudhuria arusi ya wazee wako ulisikia kauli gani siku ya ndoa naona unawashwa na lowasa
 
Unafahamu kauli za Mhe. wetu ENL akizingimza nchi nzima inajua na inatikisika, watu wanaanza kupoteza koki wakimsikia.
Kweli ENL ni Rais ajaye 100% panapo majaliwa tupate tume huru tu maana hadi sasa hawachomoki.
Wame fail kila kitu hata uhakika wa mlo mmoja kwa Watz. wote ni msamiati,wamebakia wakishika hiki mara kile....yaani wamechanaganyikiwa na muda nao unawatupa mkono wanapaswa kutupa hesabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…