Yuko wapi Kiongozi wangu Freeman Mbowe?

Anasikitika mukya kaukosa ubunge wa viti maalum
 
Anamuogoga Mnyarwanda labda, who knows?
 
Wakina Mdee wanamnyima usingizi, mara paap 2025 hii hapa

Hao hawamkoseshi usingizi, wanao msumbua kwa usaliti wao na uroho wa madaraka ni Tundu Lissu na Lema. Mbowe kawaita warudi nchini na kuendelea na shughuli zao za KICHAMA, na wameelezwa kuwa Tanzania iko shwari na usalama wao hauna tatizo, wamegoma kurudi huko wakitoa sababu na masharti.

Ndipo wakaaona ili kuchunga nafasi zao chamani basi ni lazima Wafanye figisu na mapinduzi. Mbowe ameamua kuwapa nafasi vijana walio hapa nchini kuendeleza siasa za chama.
 
Unaweza kuwekà ushahidi Wapi walipogoma kurudi na wapi Mbowe amesema wanamsumbua?
 
Yupo hai analamba asali taratibu..kibuyu kikikaribia kuisha anarudi mjengoni kuongezewa asali aendelee kulamba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Matusi Sasa! Jenga hoja avoid character assassination where making arguments... Avoid ad hominem arguments
Mbowe ana character gani? Mmegeuzwa misukule huko
Mtu na akili zako unaongozwaje na mbowe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…