Yuko wapi kiongozi imara kama huyu Tanzania ya leo?

activisty

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
315
107
YUKO WAPI KIONGOZI IMARA KAMA HUYU TANZANIA YA LEO?????

"Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na Wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda tusiwajue. Hawa hatuna sababu ya kuwapa imani, kuwa tutawalinda kama vitendo vyao viovu" - Edward Moringe Sokoine, 26 Machi 1983

"Juu ya suala hili la mapato kutolingana na matumizi ni kwamba tungependa kupunguza uongezaji wa wataalam wasiohitajika katika Serikali na katika mashirika ya umma mpaka hapo hali yetu ya uchumi itakapokuwa katika hali nzuri" - Edward Moringe Sokoine, 23 Oktoba 1982

"Serikali inasimamia bei, lakini Serikali yetu itakwenda mpaka itasimamia bei ya mhogo, dagaa na bei ya kila kitu? Haiwezekani, vitu vingine ni lazima vizalishwe kwa wingi ili bei yenyewe iweze kujirekebisha" - Edward Moringe Sokoine, 24 Septemba 1983

"Wajibu wa kila Mtanzania, kila familia na kila anayekula ni kujilisha mwenyewe. Si wajibu wa Taifa kumlisha mtu. Unaweza ukasaidiwa unapopatikana na janga. Lakini kama hakuna janga ni wajibu wa kila mtu aweze kujitosheleza kwa chakula na atoe ziada kwa Taifa" - Edward Moringe Sokoine, 4 Oktoba 1983

"Vijana leo wengi wana mali zaidi kuliko wazee waliofanya kazi miaka thelathini hadi arobaini. Lakini wanaitaka Serikali ndiyo iwaulize mali hiyo wameipata wapi. Hivi kwa nini mzazi asimuulize mwanae, 'mali hii umeipata wapi?'" - Edward Moringe Sokoine, 23 Oktoba 1983

"Katika nchi inayojali haki na usawa, majeshi hayana budi yawe ni chombo cha kulinda haki na maslahi ya walio wengi. Na kamwe hayaruhusiwi kuwa ni chombo cha wachache wenye kujali nafsi zao na kusahau maslahi ya walio wengi" - Edward Moringe Sokoine, 1Februari 1977
 
Matumbo ya wanawake yalikwisha sisitisha kuzaa watu kama sokoine.Waheshimiwa mafisadi,wazaliwao sasa
 
Mtu yeyote mpigania haki hawezi kukaa ndani ya ccm, hataishi..hata waliojaribu kutetea haki walikiona, muulize Dr Mwakyembe ambaye aliponea India
 
mkuu ni kweli kabisa atokee kiongozi aliyekuwa akisimamia haki mara zote na kwa nyakati zote kama Hayati Edward Moringe Sokoine,.

Matajiri walioiba mali za serikali walifilisiwa na wengine kufungwa, kuna ambao waliiba mali na kwenda kuzificha majumbani mwao lakini kwa Jinsi Moringe alivyokuwa imara wale watu na wachache nawafahamu walienda kutupa mali walizoiba mtoni kwa kumuhofia Sokoine,..

May His Rest In Peace. AMEN
 
Hakika thamani yake itakumbukwa na wanyonge daima
 
Mtu yeyote mpigania haki hawezi kukaa ndani ya ccm, hataishi..hata waliojaribu kutetea haki walikiona, muulize Dr Mwakyembe ambaye aliponea India

Kuna watu wanaact kuwa hawaujui ukweli ndan ya ccm, ilihali wanaujua na wanauogopa kuusema na si yeye tu wapo wengi waliokwisha hukumiwa na ccm
 
sisi tunataka rasimu ya watanzania ila ya warioba pelekeni kwake na familia zenu.

Ya warioba ni IPI na ya watanzania ni IPI?

Je warioba si Tanzania??
Ikiwa tu iyo unayoita ya warioba imebeba Yale yote ya watanznia wanayoiitaji basi ata ingeitwa jina LA fisadi gani turn geikubali kwa content zake
 
Hakunaga kama Sokoine bhana! hiki ni kizazi cha wa wakwapuaji wa mali ya walipa kodi. kila walifanyalo ni kwa ajili yao peke yao na si ka ajili ya wote. Tunangojea muujiza utokee apatikane mtu kama Edward Moringe Sokoine!
 
Hata mimi naweza kuyatamka mengi yaliyo mazuri hata kuzidi hayo ya Sokoine. Lakini je, watanzania wa leo watanipa nafasi ya kuwaongoza? Mazowea ndio maisha ya watanzania. Ni watu wasio na uthubutu hata kidogo.
 
Hakunaga kama Sokoine bhana! hiki ni kizazi cha wa wakwapuaji wa mali ya walipa kodi. kila walifanyalo ni kwa ajili yao peke yao na si ka ajili ya wote. Tunangojea muujiza utokee apatikane mtu kama Edward Moringe Sokoine!

Hakika kabisa
 
Back
Top Bottom